Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Second Coming of Christ: They who shall have died in Christ shall rise first at

1 mstari · 65 vipengele

Mistari kuhusu They who shall have died in Christ shall rise first at

  1. Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni, akitoa amri kwa sauti kuu, pamoja na sauti ya malaika mkuu, na sauti ya tarumbeta ya Mungu. Nao waliokufa wakiwa katika Kristo watafufuka kwanza.