Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Second Coming of Christ: As he ascended

2 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu As he ascended

  1. Baada ya kusema mambo haya, walipokuwa wanatazama, akachukuliwa juu mbinguni mbele ya macho yao na wingu likampokea wasimwone tena.

  2. wakasema, “Enyi watu wa Galilaya, mbona mnasimama mkitazama juu angani? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda Mbinguni, atarudi tena jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake Mbinguni.”