Mistari ya Biblia kuhusu The Second Coming of Christ: Shall be punished at
Mistari kuhusu Shall be punished at
Atawaadhibu wale wasiomjua Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Yesu.
Wataadhibiwa kwa uangamivu wa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa uweza wake,