Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Second Coming of Christ: Complete the salvation of saints

2 mistari · 65 vipengele

Mistari kuhusu Complete the salvation of saints

  1. vivyo hivyo Kristo alitolewa mara moja tu kuwa dhabihu ili azichukue dhambi za watu wengi. Naye atakuja mara ya pili, sio kuchukua dhambi, bali kuwaletea wokovu wale wanaomngoja kwa shauku.

  2. ninyi ambao mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani, hadi uje ule wokovu ulio tayari kufunuliwa nyakati za mwisho.