Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of Christ: Raising himself from the dead

4 mistari · 34 vipengele

Mistari kuhusu Raising himself from the dead

  1. Yesu akawajibu, “Libomoeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”

  2. Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?”

  3. Lakini yeye Hekalu alilozungumzia ni mwili wake.

  4. Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.”