Mistari ya Biblia kuhusu The Power of Christ: Raising the dead
Mistari kuhusu Raising the dead
“Msishangae kusikia haya, kwa maana saa inakuja ambapo wale walio makaburini wataisikia sauti yake.
Nao watatoka nje, wale waliotenda mema watafufuka wapate uzima na wale waliotenda maovu, watafufuka wahukumiwe.