Mistari ya Biblia kuhusu The Power of Christ: Overcoming the world
Mistari kuhusu Overcoming the world
Nimewaambia mambo haya, ili mpate kuwa na amani mkiwa ndani yangu. Ulimwenguni mtapata dhiki. Lakini jipeni moyo, kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu.”