Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of Christ: Overcoming Satan

2 mistari · 34 vipengele

Mistari kuhusu Overcoming Satan

  1. Mungu akiisha kuzivua enzi na mamlaka, alizifanya kuwa kitu cha fedheha hadharani kwa kuziburura kwa ujasiri, akizishinda katika msalaba wa Kristo.

  2. Basi kwa kuwa watoto wana nyama na damu, yeye pia alishiriki katika ubinadamu wao, ili kwa kifo chake, apate kumwangamiza huyo mwenye nguvu za mauti, yaani ibilisi,