Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Power of Christ: His teaching

3 mistari · 34 vipengele

Mistari kuhusu His teaching

  1. Yesu alipomaliza kusema maneno haya, makutano ya watu wakashangazwa sana na mafundisho yake,

  2. kwa sababu alifundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wao wa sheria.

  3. Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka.