Mistari ya Biblia kuhusu The Power of Christ: Rests upon saints
Mistari kuhusu Rests upon saints
Lakini aliniambia, “Neema yangu inakutosha, kwa kuwa uweza wangu hukamilika katika udhaifu.” Kwa hiyo nitajisifu kwa furaha zaidi kuhusu udhaifu wangu, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.