Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu The Poor: Do justice to

3 mistari · 92 vipengele

Mistari kuhusu Do justice to

  1. Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na walioonewa.

  2. Hili ndilo Bwana asemalo: Tenda haki na adili. Mwokoe mkononi mwa mdhalimu yeye aliyetekwa nyara. Usimtendee mabaya wala ukatili mgeni, yatima au mjane, wala usimwage damu isiyo na hatia mahali hapa.

  3. Aliwatetea maskini na wahitaji, hivyo yeye akafanikiwa katika yote. Je, hiyo si ndiyo maana ya kunijua mimi?” asema Bwana.