Mistari ya Biblia kuhusu The Poor: Refusing to assist
Mistari kuhusu Refusing to assist
Hukumpa maji aliyechoka, nawe ulimnyima chakula mwenye njaa,
Ndiyo sababu mitego imekuzunguka pande zote, hatari ya ghafula inakutia hofu,
Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, yeye pia atalia, wala hatajibiwa.