Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Poor: Shall never cease out of the land

3 mistari · 92 vipengele

Mistari kuhusu Shall never cease out of the land

  1. Siku zote watakuwepo watu maskini katika nchi. Kwa hiyo ninawaamuru mwe na mikono iliyokunjuliwa kuwaelekea ndugu zenu, kuwaelekea maskini na wahitaji katika nchi yenu.

  2. Lakini nitakuachia ndani yako wapole na wanyenyekevu, ambao wanatumaini jina la Bwana.

  3. Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.