Mistari ya Biblia kuhusu The Poor: Harden not the heart against
Mistari kuhusu Harden not the heart against
Ikiwa kuna mtu maskini miongoni mwa ndugu zenu, katika mji wowote wa hiyo nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa, msiwe na moyo mgumu wala usimfumbie mkono ndugu yako aliye maskini.