Mistari ya Biblia kuhusu The Poor: Shut not the hand against
Mistari kuhusu Shut not the hand against
Ikiwa kuna mtu maskini miongoni mwa ndugu zenu, katika mji wowote wa hiyo nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa, msiwe na moyo mgumu wala usimfumbie mkono ndugu yako aliye maskini.