Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu The Ox: With grass

3 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu With grass

  1. “Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi, niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe, anayekula majani kama ngʼombe.

  2. Waliubadilisha Utukufu wao kwa sanamu ya fahali, ambaye hula majani.

  3. Wewe utafukuzwa mbali na wanadamu, nawe utaishi pamoja na wanyama pori; utakula manyasi kama ngʼombe, na kuloana kwa umande wa mbinguni. Nyakati saba zitapita juu yako, mpaka utakapokubali kuwa Yeye Aliye Juu Sana ndiye anayetawala juu ya falme za wanadamu, naye humtawaza yeyote amtakaye.