Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Ox: Formed a part of the patriarchal wealth

4 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Formed a part of the patriarchal wealth

  1. Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu.

  2. Basi Loti, ambaye alikuwa anafuatana na Abramu, alikuwa pia na makundi ya mbuzi, kondoo, ngʼombe na mahema.

  3. Akawa na mifugo ya kondoo na ngʼombe, na watumishi wengi sana, kiasi kwamba Wafilisti wakamwonea wivu.

  4. naye alikuwa na kondoo elfu saba, ngamia elfu tatu, jozi mia tano za maksai, na punda mia tano, tena alikuwa na idadi kubwa ya watumishi. Alikuwa mtu mkuu sana miongoni mwa watu wa Mashariki.