Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Ox: Mode of reparation for one, killing another

2 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Mode of reparation for one, killing another

  1. “Kama fahali wa mtu fulani atamuumiza fahali wa mtu mwingine na akafa, watamuuza yule aliye hai na wagawane sawa fedha pamoja na mnyama aliyekufa.

  2. Hata hivyo, kama ikifahamika kwamba fahali huyo alikuwa na tabia ya kupiga kwa pembe na mwenyewe hakumfunga, ni lazima mwenye fahali alipe mnyama kwa mnyama, na mnyama aliyekufa atakuwa wake.