Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Ox: Of others not to be coveted

2 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Of others not to be coveted

  1. Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.”

  2. Usitamani mke wa jirani yako. Usitamani nyumba ya jirani yako au shamba lake, mtumishi wake wa kiume au wa kike, ngʼombe au punda wake, wala kitu chochote cha jirani yako.”