Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Levites

255 mistari · 63 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. na wakati wowote sadaka za kuteketezwa zilipotolewa kwa Bwana siku za Sabato na kwenye sikukuu za Mwezi Mwandamo na katika sikukuu nyingine zilizoamriwa. Iliwapasa kuhudumu mbele za Bwana mara kwa mara kwa idadi maalum na kwa namna waliyokuwa wamepewa maelekezo.

  2. Hivyo Walawi wakafanya wajibu wao katika Hema la Kukutania, katika Mahali Patakatifu chini ya uongozi wa ndugu zao wazao wa Aroni, kwa ajili ya utumishi katika Hekalu la Bwana.

  3. Vijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura.

  4. Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, wanawe na jamaa zake, 12 Ya pili ikamwangukia Gedalia, yeye na wanawe pamoja na jamaa zake, 12

  5. Ya tatu ikamwangukia Zakuri, wanawe na jamaa zake, 12

  6. ya nne ikamwangukia Isri, // wanawe na jamaa zake, 12

  7. ya tano ikamwangukia Nethania, wanawe na jamaa zake, 12

  8. ya sita ikamwangukia Bukia, wanawe na jamaa zake, 12

  9. ya saba ikamwangukia Yesarela, // wanawe na jamaa zake, 12

  10. ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, 12

  11. ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, 12

  12. ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, 12

  13. ya kumi na moja ikamwangukia Azareli, // wanawe na jamaa zake, 12

  14. ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, wanawe na jamaa zake, 12

  15. ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, wanawe na jamaa zake, 12

  16. ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, wanawe na jamaa zake, 12

  17. ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, wanawe na jamaa zake, 12

  18. Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, wanawe na jamaa zake, 12

  19. ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, wanawe na jamaa zake, 12

  20. ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, wanawe na jamaa zake, 12

  21. ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, wanawe na jamaa zake, 12

  22. ya ishirini ikamwangukia Eliatha, wanawe na jamaa zake, 12

  23. ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, wanawe na jamaa zake, 12

  24. ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, wanawe na jamaa zake, 12

  25. ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, wanawe na jamaa zake, 12