Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Levites: Had chiefs or officers over them

7 mistari · 63 vipengele

Mistari kuhusu Had chiefs or officers over them

  1. Kisha Daudi akawakusanya pamoja wazao wa Aroni na Walawi:

  2. Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake 120,

  3. Kutoka wazao wa Merari, Asaya kiongozi na ndugu zake 220.

  4. Kutoka wazao wa Gershoni, Yoeli kiongozi na ndugu zake 130.

  5. Kutoka wazao wa Elisafani, Shemaya kiongozi na ndugu zake 200.

  6. Kutoka wazao wa Hebroni, Elieli kiongozi na ndugu zake 80.

  7. Kutoka wazao wa Uzieli, Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112.