Mistari ya Biblia kuhusu The Jews: Fondness for their brethren
Mistari kuhusu Fondness for their brethren
Ninasema kweli katika Kristo, wala sisemi uongo, dhamiri yangu inanishuhudia katika Roho Mtakatifu.
Nina huzuni kuu na uchungu usiokoma moyoni mwangu.
Kwa maana ningetamani hata mimi nilaaniwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu hasa, wale walio wa kabila langu kwa jinsi ya mwili,