Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Syria: Dedicated the spoils of

2 mistari · 61 vipengele

Tafuta "Syria"

Mistari kuhusu Dedicated the spoils of

  1. Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa Bwana, kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu kutoka kwa mataifa yote aliyokuwa ameyashinda:

  2. yaani Edomu, Moabu, Waamoni, Wafilisti na Waamaleki. Pia akaweka wakfu nyara alizoteka kutoka kwa Hadadezeri mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba.