Mistari ya Biblia kuhusu Syria: People of, colonized in Samaria by the king of Assyria
Mistari kuhusu People of, colonized in Samaria by the king of Assyria
Mfalme wa Ashuru akawaleta watu kutoka Babeli, Kutha, Ava, Hamathi na Sefarvaimu na kuwaweka katika miji ya Samaria badala ya Waisraeli. Wakaimiliki Samaria na kuishi katika miji yake.