Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Seed: Yielded an abundant increase in Canaan

2 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu Yielded an abundant increase in Canaan

  1. Isaki akapanda mazao katika nchi hiyo, kwa mwaka huo huo, akavuna mara mia, kwa sababu Bwana alimbariki.

  2. Lakini ile mbegu iliyopandwa kwenye udongo mzuri ni yule mtu ambaye hulisikia neno na kulielewa. Naye hakika huzaa matunda, akizaa mara mia, au mara sitini, au mara thelathini ya mbegu iliyopandwa.”