Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Seed: Different kinds of, not to be sown in the same field

2 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu Different kinds of, not to be sown in the same field

  1. “ ‘Mtazishika amri zangu. “ ‘Usiwaache wanyama wako wa kufugwa wakazaana na wengine wa aina tofauti. “ ‘Usipande mbegu za aina mbili katika shamba lako. “ ‘Usivae nguo iliyofumwa kwa nyuzi za aina mbili tofauti.

  2. Usipande aina mbili za mbegu katika shamba lako la mizabibu; ikiwa utafanya hivyo, si mazao utakayopanda tu yatakuwa najisi, bali nayo matunda ya shamba la mizabibu pia.