Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Seed: Not to be sown during the sabbatical year

2 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu Not to be sown during the sabbatical year

  1. Lakini mwaka wa saba nchi lazima iwe na Sabato ya mapumziko, Sabato kwa Bwana. Msipande mbegu katika mashamba yenu, wala msikate mizabibu yenu matawi.

  2. Mwaweza kuuliza, “Tutakula nini katika mwaka wa saba ikiwa hatutapanda wala kuvuna mazao yetu?”