Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Seed: Often attended with great waste

3 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu Often attended with great waste

  1. Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia, nao ndege wakaja na kuzila.

  2. Nyingine zilianguka kwenye ardhi yenye mwamba isiyo na udongo wa kutosha. Zikaota haraka, kwa kuwa udongo ulikuwa haba.

  3. Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea.