Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Salutations: On entering a house

5 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu On entering a house

  1. Basi wakaingia humo na kwenda kwenye nyumba ya yule kijana Mlawi katika nyumba ya Mika na kumsalimu.

  2. Mkiingia kwenye nyumba, itakieni amani.

  3. Akaingia nyumbani kwa Zekaria na kumsalimu Elizabeti.

  4. Naye Elizabeti aliposikia salamu ya Maria, mtoto aliyekuwa tumboni mwake akaruka. Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu,

  5. Mara tu niliposikia sauti ya salamu yako, mtoto aliyeko tumboni mwangu aliruka kwa furaha.