Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Salutations: Often sent by letter

6 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu Often sent by letter

  1. Timotheo, mtendakazi mwenzangu anawasalimu. Vivyo hivyo Lukio, Yasoni, na Sosipatro, ndugu zangu.

  2. Mimi, Tertio, niliye mwandishi wa waraka huu, nawasalimu katika Bwana.

  3. Gayo, ambaye ni mwenyeji wangu na wa kanisa lote, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto ndugu yetu pia wanawasalimu. [

  4. Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe.

  5. Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni minyororo yangu. Neema iwe nanyi. Amen.

  6. Mimi, Paulo, ninaandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndio alama ya utambulisho katika barua zangu zote. Hivi ndivyo niandikavyo.