Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Salutations: Persons in haste excused from giving or receiving

2 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu Persons in haste excused from giving or receiving

  1. Elisha akamwambia Gehazi, “Jikaze viuno, chukua fimbo yangu mkononi mwako na ukimbie. Ikiwa utakutana na mtu yeyote, usimsalimie, na mtu yeyote akikusalimu, usimjibu. Ilaze fimbo yangu juu ya uso wa mtoto.”

  2. Kwa maana nawaambia, manabii wengi na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.”