Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Salutations: Kissing the dust

2 mistari · 37 vipengele

Mistari kuhusu Kissing the dust

  1. Makabila ya jangwani watamsujudia, na adui zake wataramba mavumbi.

  2. Wafalme watakuwa baba zenu wa kuwalea, na malkia wao watakuwa mama zenu wa kuwalea. Watasujudu mbele yako nyuso zao zikigusa ardhi; wataramba mavumbi yaliyo miguuni mwako. Ndipo utajua ya kuwa Mimi ndimi Bwana; wale wanaonitumaini mimi hawataaibika.”