Mistari ya Biblia kuhusu Prophets: Simple in their manner of life
Mistari kuhusu Simple in their manner of life
Basi Yohana alivaa mavazi yaliyotengenezwa kwa singa za ngamia, akiwa na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwitu.