Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Prophets: Holy prophets

3 mistari · 128 vipengele

Mistari kuhusu Holy prophets

  1. kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani,

  2. Furahia kwa ajili yake, ee mbingu! Furahini watakatifu, mitume na manabii! Mungu amemhukumu kwa vile alivyowatendea ninyi.’ ”

  3. Kisha yule malaika akaniambia, “Maneno haya ni ya kuaminika na kweli. Bwana, Mungu wa roho za manabii, alimtuma malaika wake kuwaonyesha watumishi wake yale ambayo hayana budi kutukia upesi.”