Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prophets: Exhort to faithfulness and constancy in God's service

3 mistari · 128 vipengele

Mistari kuhusu Exhort to faithfulness and constancy in God's service

  1. Roho wa Bwana akamjia Azaria mwana wa Odedi.

  2. Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, “Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini. Bwana yu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi.

  3. Lakini kwa habari yenu ninyi, kuweni hodari wala msikate tamaa, kwa kuwa mtapata thawabu kwa kazi yenu.”