Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Peter: Visits Lydda; heals Aeneas

3 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu Visits Lydda; heals Aeneas

  1. Petro alipokuwa akisafiri sehemu mbalimbali, alikwenda kuwatembelea watakatifu walioishi huko Lida.

  2. Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea, ambaye alikuwa amepooza na kwa muda wa miaka minane alikuwa hajaondoka kitandani.

  3. Petro akamwambia, “Ainea, Yesu Kristo anakuponya, inuka utandike kitanda chako.” Mara Ainea akainuka.