Lydda
31.9500, 34.8900 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Lydda
Petro alipokuwa akisafiri sehemu mbalimbali, alikwenda kuwatembelea watakatifu walioishi huko Lida.
Watu wote wa Lida na Sharoni walipomwona Ainea akitembea wakamgeukia Bwana.
Kwa kuwa Yafa hapakuwa mbali sana na Lida, wanafunzi waliposikia kwamba Petro yuko huko waliwatuma watu wawili kwake ili kumwomba, “Tafadhali njoo huku pasipo kukawia.”