Mistari ya Biblia kuhusu Peter: Jesus appears to
Mistari kuhusu Jesus appears to
wakisema, “Ni kweli! Bwana amefufuka, naye amemtokea Simoni.”
ya kuwa alizikwa na alifufuliwa siku ya tatu, kama yasemavyo Maandiko,
na kwamba alimtokea Kefa, kisha akawatokea wale kumi na wawili.