Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Peter: Cuts off the ear of Malchus

3 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu Cuts off the ear of Malchus

  1. Ghafula mmoja wa wale waliokuwa na Yesu alipoona hivyo, akaushika upanga wake, akauchomoa na kumpiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

  2. Ndipo mmoja wa wale waliokuwa wamesimama karibu aliuchomoa upanga wake na kumpiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio.

  3. Mmoja wao akampiga mtumishi wa kuhani mkuu kwa upanga, akamkata sikio la kuume.