Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Pardon: For yourselves

5 mistari · 58 vipengele

Mistari kuhusu For yourselves

  1. Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi.

  2. Uangalie mateso na shida zangu na uniondolee dhambi zangu zote.

  3. Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Baada ya kukemewa na nabii Nathani kwa kuzini na Bathsheba. Ee Mungu, unihurumie, kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, kwa kadiri ya huruma yako kuu, uyafute makosa yangu.

  4. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tulivyokwisha kuwasamehe wadeni wetu.

  5. Utusamehe dhambi zetu, kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea. Wala usitutie majaribuni (bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu).’ ”