Mistari ya Biblia kuhusu Pardon: Outward purifications, ineffectual for
Mistari kuhusu Outward purifications, ineffectual for
Hata kama ningejiosha kwa sabuni na kutakasa mikono yangu kwa magadi,
wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana.
Hata ujisafishe kwa magadi na kutumia sabuni nyingi, bado doa la hatia yako liko mbele zangu,” asema Bwana Mwenyezi.