Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Pardon: Through the blood of Christ

3 mistari · 58 vipengele

Mistari kuhusu Through the blood of Christ

  1. Hii ndiyo damu yangu ya Agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.

  2. Yeye ambaye Mungu alimtoa awe dhabihu ya upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake. Alifanya hivi ili kuonyesha haki yake, kwa sababu kwa ustahimili wake aliziachilia zile dhambi zilizotangulia kufanywa.

  3. ambaye katika yeye tunao ukombozi, yaani msamaha wa dhambi.