Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Pardon: Blasphemers against the Holy Spirit

3 mistari · 58 vipengele

Mistari kuhusu Blasphemers against the Holy Spirit

  1. Mtu yeyote atakayesema neno dhidi ya Mwana wa Adamu atasamehewa, lakini yeyote anenaye neno dhidi ya Roho Mtakatifu hatasamehewa, iwe katika ulimwengu huu au katika ulimwengu ujao.

  2. Amin, nawaambia, dhambi zote na makufuru yote ya wanadamu watasamehewa.

  3. Lakini yeyote anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa kamwe, atakuwa na hatia ya dhambi ya milele.”