Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Pardon: Through Christ

4 mistari · 58 vipengele

Mistari kuhusu Through Christ

  1. Naye ametusimamishia pembe ya wokovu katika nyumba ya Daudi mtumishi wake,

  2. kuwajulisha watu wake juu ya wokovu utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao,

  3. Mungu alimtukuza, akamweka mkono wake wa kuume kuwa Kiongozi na Mwokozi ili awape Israeli toba na msamaha wa dhambi.

  4. “Kwa hiyo ndugu zangu, nataka ninyi mjue kwamba kwa kupitia huyu Yesu msamaha wa dhambi unatangazwa kwenu.