Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Obedience to God: Obeying the gospel

4 mistari · 45 vipengele

Mistari kuhusu Obeying the gospel

  1. Kwa kupitia kwake na kwa ajili ya Jina lake, tumepokea neema na utume ili kuwaita watu miongoni mwa watu wa mataifa yote, waje kwenye utii utokanao na imani.

  2. Lakini Mungu ashukuriwe kwa kuwa ninyi ambao kwanza mlikuwa watumwa wa dhambi, mmekuwa watii kutoka moyoni kwa mafundisho mliyopewa.

  3. Lakini si wote waliotii Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”

  4. Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo.