Skip to content

Cherith

2 verses

32.3000, 35.5500 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Cherith

  1. “Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani.

  2. Hivyo akafanya kile alichoambiwa na Bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko.