Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Cherith

5 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. “Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani.

  2. Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”

  3. Hivyo akafanya kile alichoambiwa na Bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko.

  4. Kunguru wakamletea mkate na nyama asubuhi na mkate na nyama jioni, naye akanywa maji kutoka kile kijito.

  5. Baada ya muda, kile kijito kikakauka kwa sababu mvua haikuwa imenyesha katika nchi.