Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Oaths: Often accompanied by placing the hand under the thigh of the person sworn to

3 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Often accompanied by placing the hand under the thigh of the person sworn to

  1. Akamwambia mtumishi wake mkuu wa vitu vyote katika nyumba yake, yule aliyekuwa msimamizi wa vitu vyote alivyokuwa navyo, “Weka mkono wako chini ya paja langu,

  2. Basi yule mtumishi akaweka mkono wake chini ya paja la bwana wake Abrahamu akamwapia kuhusu shauri hili.

  3. Wakati ulipokaribia wa Israeli kufa, akamwita mwanawe Yosefu na kumwambia, “Kama nimepata kibali machoni pake, weka mkono wako chini ya paja langu na uniahidi kuwa utanifanyia fadhili na uaminifu. Usinizike Misri,