Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Oaths: Binding to performance of any particular act

4 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Binding to performance of any particular act

  1. Ninataka uape kwa Bwana, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao,

  2. bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaki mwanangu mke.”

  3. Naye Yosefu akawaapisha wana wa Israeli na kuwaambia, “Hakika Mungu atawasaidia, nanyi ni lazima mhakikishe mmepandisha mifupa yangu kutoka mahali hapa.”

  4. Sasa basi, tafadhali niapieni kwa Bwana, kwamba mtaitendea hisani jamaa ya baba yangu, kwa kuwa mimi nimewatendea hisani. Nipeni ishara ya uaminifu