Mistari ya Biblia kuhusu Oaths: The Jews who sought to kill Paul
Mistari kuhusu The Jews who sought to kill Paul
Lakini usishawishiwe nao kwa maana zaidi ya watu arobaini wanamvizia. Wamejifunga kwa kiapo kwamba hawatakula wala kunywa mpaka wawe wamemuua Paulo. Sasa wako tayari, wanangoja idhini yako kwa ajili ya ombi lao.”